Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
- #381
Nishike mkono unipeleke mkuu.Pole ila ukitaka malikes ukwende kwenye uzi wa jembe wa kupeana like mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishike mkono unipeleke mkuu.Pole ila ukitaka malikes ukwende kwenye uzi wa jembe wa kupeana like mkuu
Nimefufuka mkuu bado sijafa.R.I.P mkuu tutakukumbaka sana
Mojawapo like yako, na comments yako imenisaidia mkuu, nisiondoke mungu akubariki sana.Ni idadi ngapi ya like unaziitaji kwa kila thread yako unayoleta humu ili usiondoke mjomba??!
Barikiwa sana mkuu wangu.unatingisha kiberiti jombaa.!? kisa likes na comments!!
haya pokea likes na kula comments
Daaah kwanza ubarikiwe, kwa wema wako mkuu, mungu akubariki sana!uje uchukue na nauli kabisa
We apa apa chit chat kuna uzi wa kupeana likes ingia huko utapewa malikes mpka utashangaaNishike mkono unipeleke mkuu.
Kwa uandishi huo usiozingatia hata alama za uandishi unategemea nini?Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Haya bana! Innah lillahi wa innah illahi rajiuniKuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Pamoja mkuu.We apa apa chit chat kuna uzi wa kupeana likes ingia huko utapewa malikes mpka utashangaa
Achana na maandishi, au uandishi shida yangu, kubwa ilikuwa comments yako. Kwa hiyo umenipa nashukuru sana kijana.Kwa uandishi huo usiozingatia hata alama za uandishi unategemea nini?
Andika nyuzi zenye akili uone kama hautapata positive response.
Ubarikiwe sana.Haya bana! Innah lillahi wa innah illahi rajiuni
😀 😀 😀 😀 😀 😀 iwabambe mara ngapi mkuu.Kwa nyuzi hii utapata likes na comments za kutosha😀..Inaweza kuwa ndo nyuzi itakayo wabamba
Ili iweje mkuu, hii hii inatosha iliokuwepo.Tunasubili iyo Id yako mpya
Nilikuwa nakusubiri ww mrembo.Unasubiri nini mpaka sasa