Ubarikiwe sana kwa sir god mkuu.Kula hii mzaz
Mungu akubariki sana, kwa comments yako, aondoki mtu hapa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Komenti mbna mkuu umepata now..Usiage Tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubarikiwe sana mkuu, kwa comments yako, hila huo uchochezi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Au na ww umegushi umri??[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Baki tu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mungu akubariki sana, kwa comments yako, aondoki mtu hapa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kilio changu kilikuwa comments na like, na wewe mmojawapo ujawai kunipa. Comments yako hata moja, sasa leo nimeipata comments yako Ubarikiwe sana tena sanaaa mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi comment na like hua unakusanya unaenda kuuza??
Halafu wakati unakuja hukupiga hodi kuondoka unaniaga......
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Na wewe mungu akubariki sana, kwa ku comments.Haya mambo kwa kweli yanashangaza sana, si wewe tu unayekerwa na hii tabia
Nashukuru sana mkuu, mungu akubariki sana.Mbinumbinu tu za kupata comments ..haya natumaini umeridhika sasa
Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app