Elihuruma Lwinga
Member
- Jun 3, 2014
- 63
- 68
Hahahahaaaa, kazi kweli, unaenda wapi ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe mungu akubariki sana, kwa ku comments.Nenda salama kaanzishe mtandao wako wa kupendwa bila upendeleo
AmenNa wewe mungu akubariki sana, kwa ku comments.
Ukiona hivyo hujawahi kutoa mada ninayo ipenda siku ukiandika mada niipendayo nitakupa hata mchango wa bandoKilio changu kilikuwa comments na like, na wewe mmojawapo ujawai kunipa. Comments yako hata moja, sasa leo nimeipata comments yako Ubarikiwe sana tena sanaaa mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimehairisha siendi kokote, mkuu kama mi comments na ma like nimepata vya kutosha.
Siendi kokote mkuu, nakomaa hapa hapa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukirudi tuletee zawadi
Ha ha ha ha sawa baki tu haina namnaNimehairisha siendi kokote, mkuu kama mi comments na ma like nimepata vya kutosha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi likes na comments zimekuwa adimu, kweli vyuma vimekaza [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu mmekuwaje? Yaani MTU mzima unalilia comment na likes!!!! Vyuma vimekaza.
Kwanza mungu akubariki sana kwa kunipa, comments yako. pili nipo mkuu napambana na hali yangu hapa hapa Jf.Hahahahaaaa, kazi kweli, unaenda wapi ndugu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante kwa mi comments mkuu.Kunasiku nikikua nasikikiza kipindi redion mtangazaji alikua anasoma msg za wadikikizaji kuna msg moja ilikua inasema beana mtangazaji nakutumia msg hosomi....... Yule mtumaji nafananisha na wewe...
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Ubarikiwe mkuu kwa comments [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi likes na comments zimekuwa adimu, kweli vyuma vimekaza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawewe leo jipe mapumziko kwa kupata comment nyingi kuliko idadi ya miaka yako yote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante kwa mi comments mkuu.
Komaa mkuu usife moyo, sometimes, ujitoe muhanga kama mimi hapa, kwenye huu Uzi.Mimi no kwanza nimeingia wakuu. Naomba ushirikiano
Nitawaachia kidogo muendelee nao huu uzi, nitarudi baadae kidogo mkuuNawewe leo jipe mapumziko kwa kupata comment nyingi kuliko idadi ya miaka yako yote [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app