Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Wewe si unaandika kwa ajili ya kuelimisha jamii au unaandika ili usifiwe? We chapa kazi. Sasa ukiaga ndo watalike na kucomment?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakuja taratibu wakuu.
 
Si haba kapata comments za kutosha.
Kumbe ukiingia kwa gia hii watu wanapiga comments kma hawana akili vyema sio
 
Ila ukitaka upate comments nyingi zaid piga siasa kaka.
Za kumwagaaa had utajuta kuwasha data
 
Si haba kapata comments za kutosha.
Kumbe ukiingia kwa gia hii watu wanapiga comments kma hawana akili vyema sio
Ubarikiwe sana mkuu, bila ya mkwara uwezi kutoka mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…