Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

NAHUJA: Miss chaga: Joseverest: MBITIYAZA: na wadau wote natoka kidogo nitarudi baadae, nawapenda wote wakuu.
 
Kwaheri na ukirudi uje na ID mpya
 
Unaonekana unapenda kusifiwa sana kama Bashite !!! Wewe usijali wangapi wame comment au ku like uzi wako cha msingi umetoa mawazo yako!!! JF ni jukwaa huru!!! Usiondoke maana ukiondoka JF ni hasara kubwa sana kuliko kubaki!! JF raha sana!!! The home of Great Thinkers!!!!
 
Safari njema!!
 
pokea like na comment yangu mkuu, nadhani sasa utaahirisha.
 
Watu elfu kumi na zaidi wameuona, na watu zaidi ya mia 4 wame comment hahahah
10,000 * 400 = 4,000,000 kapata mpunga mrefu kweli ndani ya masaa 20 inabidi awahi kwa mods wakampe chake
Sasa ungeondoka ungezipataje hizi?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kk
 
Nimegundua unataka attention ya wa2 mkuu
 
Acha ukinda wewe; who cares kwani hii ni familia yako au niahe mpk uone kuna upendeleo?

Watu wengine hamko serious na maisha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bila kuwa mbunifu hapa upati kitu, inakula, wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…