Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

wenzako tushaona jambo hilo siku nyingi, tumeamua ku like na ku comment tu,mambo ya kuanzisha uzi tushaacha.
Lkn message sent mkuu wahusika wamesikia![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Afu najaribu kuwaza kwa sauti tu kama ww mwenyeji humu unalalamika kuhusu likes na comments sembuse sisi wageni tusemeje kwa mfano 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Humu ukitaka. Positive (biased)Comments. Msifie mbowe. Lisu Nassari. Lema. Na sasa Nape. Na Askofu Niwemugizi. Na negative. Msifie JPM. Makonda. Pengo nk. Hata wasipowaelewa kuna hoja wameshaziweka kichwani. Leo Mbunge hana Kazi humu. Ukitoa hoja. Utaskia Sio Kazi yake. Wakati. Anapoomba Kura ndo hoja hizo tunazowabania. So Heri upate moja usimamie ukweli mana one has always to look at a Half Fully Cup and not Half empty Cup if at all he or she wants to get somewhere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…