Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Kwa uzi huu kiu yako itaisha
 
Nimeipenda aina yako ya kusaka koment na likes za jf

Umesahau mkuu

Likes na koment nyingi zinapatikana fb na insta aseee, humu ujipime kiwango chako na namna ya kuwasilisha nyuzi zako, kwani inakubidi uwe mbunifu na ujue walioko humu ni akina nani na wanapenda nini??

Umeanza kukuwa sasa, na mchezo wa jf unaohitaji kuafikirisha watu umeanza kuujua, rudi uone una komenti ngapi mpaka sasa na likes ngapi?
Japo jf mimi naonaga mwisho ni 5 tuu sijui kwa wengine asee[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Ukipenda tangulia mbele za dunia ya ukimya, lakini humu fulu kelele na kila kelele humu ina maana yake
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] Ahsante sana mkuu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] Ahsante sana mkuu
 
Basi sawa
 
Duuh mkuu pole sana aisee..usijipe shida sana kuhusu hizi ishu

Anyways kila la heri uko uendapo
 
Mkuu nadhani kuwepo kwetu hapa JF si kupata likes.Nia ni kuelimishana.Kwani ukipata likes unapata faida gani,mbona hamna.Hata hivyo JF ya leo, sio ya zamani ndugu yangu.Ufahamu wa vijana wetu wengi waliomo humu leo ni mdogo sana katika mambo mengi,so they need help.Ni kweli kwa mfano kwamba ukileta a professional au thread yenye mantiki, mara nyingi hawatachangia sana.Wao wanapenda zaidi vitu vilivyokaa kimtaani taani hivi,things which they can associate with in their daily life.So don't give up, kama nia yako ni kuelimisha,unless nia yako as it seems, ni likes.Hata kama hawakusoma wengi na kukupa likes,those who matter will have read it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…