Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Abbasfarudume eenda kuanjelwa, hahahahahahahahahaha
[emoji15] [emoji15] Mkuu hata kama umetukana ahsante kwa ku comments kula msosi samaki samaki mlimani city nakuja hapo nipe nusu saa nakuja kulipa!
 
Just because they don't "Like" or "Commenting" in your post it doesn't mean they don't see it. Keep spitting the Truth
 
Haya kwa Hii thread ya leo ukikosa comments na likes basi we kwaheri ndg
 
Nadhani umeshapata likes za kutosha, comments za kutosha ktk huu Uzi.

Sasa naomba utambue kwamba maisha haya ndivyo yalivyo kila mahali....kwahiyo jikubali hata km wengine hawakukubali. Acha kupenda likes na comments!!!
 
Haswaaa mie ndio nimejitoa kimasomaso kuhakikisha anapata anachokitaka kutii kiu yake
Na umekuwa balozi wake kweli lazma kesho alete topic ya kutambua uwepo wako na umuhimu wako wa kum bakisha jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…