Wakuu naomba ushauri: Hii laki nane niliyonayo mfukoni nifanye biashara gani ili niweze kuizalisha?

Mimi NIPO Area A mkuu mtumba napajua nipe muongozo kuna biashara gani mkuu
Shuka mtumba ulizia mtaa wa changanyikeni, unaweza kupita hapo siku moja ujionee, ukiweza kufanya namna samaki za baharini au pweza na mchuzi wake uuze hapo hamna kabisa hiyo ishu hapo na pamechangamka sana, wala hautotumia hiyo hela yote
 
Kwa mtaji huo nakushauri usifanye biashara inayohitaji kupanga frame fanya biashara maeneo yenye watu wengi mfano sokoni au tafuta bidhaa zinazobebeka kwa mtaji wa laki 2-3 utembeze...biashara ya kutembeza inahitaji moyo sana kuna siku utatembea kuanzia asubuhi Hadi saa 9 mchana hujapata hata 100..
Mimi ndio ninachofanya Sasa hivi..
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako
 
Kuna biashara ya genge, unaweza jenga kibanda, kwa hiyo hela na kuaanzisha biashara hiyo,
Sehemu za mipango, unaweza kuuza maharage.

Pia kuna biashara ya kuuza chapati, maeneo ya mipango,
Kuanzisha mnada mpya hapo, unaweza fnya kitu hila hakikisha unapata sehemu nzur ambayo iko barabarani, utafnya vzr sana
 
Nenda Gairo hapo, kanunue roba kadhaa za viazi vitamu.

Rudisha mjini Dodoma (au mji wowote unaopendelea) panga fungu za buku mbilimbili subiri wateja.

Roba moja ni kama tsh 12k (shambani)hadi tsh 30k (sokoni)
 
Dodoma hapo ni njia nne mji kati pia ni tambalale Sasa fanya tafuta baiskeli 200000 na 50000 repairing tools hafu zama bush ukikuta mkaa twende, ukikuta scrape, twende, zabibu twende, mahindi twende, kuku twende hafu unavyoenda nenda na petroli, phone accessories na etc.
 
Asante sana mkuu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom