NITUME NIKUTUMIKIE
Member
- Apr 28, 2024
- 22
- 31
Nina Tsh. 800,000 kama akiba imekaa tu, kodi ya pango ninapoishi nimelipa, chakula ndani nimenunua sasa wakuu nimebaki na hii Tsh. 800,000 nahitaji kuizalisha nifanye nini kwa hiki kidogo nilicho nacho?
Location Dodoma: Nasoma comments naheshimu sana ushauri wenu wakuu.
Location Dodoma: Nasoma comments naheshimu sana ushauri wenu wakuu.