NITUME NIKUTUMIKIE
Member
- Apr 28, 2024
- 22
- 31
Mimi NIPO Area A mkuu mtumba napajua nipe muongozo kuna biashara gani mkuuUpo dodoma sehemu gani, unapjua mtumba
Shuka mtumba ulizia mtaa wa changanyikeni, unaweza kupita hapo siku moja ujionee, ukiweza kufanya namna samaki za baharini au pweza na mchuzi wake uuze hapo hamna kabisa hiyo ishu hapo na pamechangamka sana, wala hautotumia hiyo hela yoteMimi NIPO Area A mkuu mtumba napajua nipe muongozo kuna biashara gani mkuu
Asante sana mkuu kwa ushauri wakoKwa mtaji huo nakushauri usifanye biashara inayohitaji kupanga frame fanya biashara maeneo yenye watu wengi mfano sokoni au tafuta bidhaa zinazobebeka kwa mtaji wa laki 2-3 utembeze...biashara ya kutembeza inahitaji moyo sana kuna siku utatembea kuanzia asubuhi Hadi saa 9 mchana hujapata hata 100..
Mimi ndio ninachofanya Sasa hivi..
Kuna jamaa hapo Dodoma wanauza maharage debmbe 2 kwa siku, hiyo ni njee na nyanya na vitunguuTafuta eneo anzisha Genge..
Kuna Jamaal nilikuwa nae hapa...
Kaja TZA kaanza na Genge Sasa ana maduka...
Asante sana mkuu kwa ushauriDodoma hapo ni njia nne mji kati pia ni tambalale Sasa fanya tafuta baiskeli 200000 na 50000 repairing tools hafu zama bush ukikuta mkaa twende, ukikuta scrape, twende, zabibu twende, mahindi twende, kuku twende hafu unavyoenda nenda na petroli, phone accessories na etc.
Asante mkuu kwa ushauriTafuta eneo anzisha Genge..
Kuna Jamaal nilikuwa nae hapa...
Kaja TZA kaanza na Genge Sasa ana maduka...
Sawa mkuu nasubiri ushauri wakoKazi ni nyingi sana
Almost kila kitu ni biashara na kinauzika
Asante sana mkuu kwa ushauri wakoAnzisha biashara ya kuuza chakula na juice kule ujasi Udom utapiga mno hela