Wakuu naombeni msaada wa connection ya kibarua

Wakuu naombeni msaada wa connection ya kibarua

Dady6

Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
13
Reaction score
12
Natumai mko wazima.

Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta (VETA).

Ninaandika kutafuta nafasi ya kazi ambayo itanipa fursa ya kutumia maarifa yangu na ujuzi wangu katika sekta hii ( SIYO LAZIMA IJIKITE KATIKA UWANJA WA UGAVI).

Nina ujuzi mzuri katika:
  • Usimamizi wa manunuzi na ugavi
  • Kutathmini na kuchagua waandaaji bora
  • Kuandaa na kutekeleza mikataba
  • Kutumia programu za kompyuta katika kazi za kila siku kama vile Excel, Word, na programu nyingine za usimamizi wa data

Asante sana kwa muda wenu.
 
Tumeambiwa Vijana sio Waaminifu sijui tukimbilie wapi ? Na mfumo wetu wa elimu haukutuandaa kujiajili anyway Mkui kila la kheri. Pita na kwenye sites za Advertising Dar, zoom.co.tz na Linkeldin acha CV yako huenda dunia ikakuona na kukutimizia haja yako.
 
[emoji1666]
 
Back
Top Bottom