Dady6
Member
- Mar 20, 2020
- 13
- 12
Natumai mko wazima.
Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta (VETA).
Ninaandika kutafuta nafasi ya kazi ambayo itanipa fursa ya kutumia maarifa yangu na ujuzi wangu katika sekta hii ( SIYO LAZIMA IJIKITE KATIKA UWANJA WA UGAVI).
Nina ujuzi mzuri katika:
Asante sana kwa muda wenu.

- Usimamizi wa manunuzi na ugavi
- Kutathmini na kuchagua waandaaji bora
- Kuandaa na kutekeleza mikataba
- Kutumia programu za kompyuta katika kazi za kila siku kama vile Excel, Word, na programu nyingine za usimamizi wa data
Asante sana kwa muda wenu.