Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Wageni wanini tena maisha haya yaani nianze kupiga hesabu za wageni tena mimi mbona siendi kulala kwao Kila mtu afe na chakeChumba kimoja? Wageni tutalala wapi 🥹
Acha uchoyo mwanetuWageni wanini tena maisha haya
Sio uchoyo maisha magumu unaanzaje kuzurura Kwa watu Kaa kwako subiri kifoAcha uchoyo mwanetu
Hiyo hiyo mkuu itanisaidiaTafuta watu wakucholee mr wengine sisi mafundi tutakupa za kawaida tu
😂😂Wageni wanini tena maisha haya yaani nianze kupiga hesabu za wageni tena mimi mbona siendi kulala kwao Kila mtu afe na chake
Ndio mkuuVocha ipo?
Pm Yako imefungwaMkuu kama una 100,000 nicheck PM nitumalize mambo
Sio uchoyo maisha magumu unaanzaje kuzurura Kwa watu Kaa kwako subiri kifo
Kuna gesthouse mkuu siku hizi hamnaga kulala kwa mtuChumba kimoja? Wageni tutalala wapi 🥹
🤣🤣🔥Wageni wanini tena maisha haya yaani nianze kupiga hesabu za wageni tena mimi mbona siendi kulala kwao Kila mtu afe na chake
Si ndio hapo mkuu uanze kuingia gharama kuweka chumba Cha wageni maisha hayaKuna gesthouse mkuu siku hizi hamnaga kulala kwa mtu
Watoto wanalala sebuleni nikijipata nawajengea kama hii yangu Ili wakikua niipangishe sitaki hasara Mimi ya kujaza mavyumba mengi tupuWageni tumekubali tutabaki makwetu. Vipi we huna mpango wa kupata watoto? Watalala kwenye veranda au? 😂ðŸ¤
Anae roho mbaya uyu mwambaChumba kimoja? Wageni tutalala wapi 🥹