Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Hamna roho mbaya hapo mbonaAnae roho mbaya uyu mwamba
mkuu
Hamna roho mbaya hapo mbonaAnae roho mbaya uyu mwamba
Watoto wanalala sebuleni nikijipata nawajengea kama huu yangu Ili wakikua niipangishe
🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee tutakuja kulala jikoniWageni wanini tena maisha haya yaani nianze kupiga hesabu za wageni tena mimi mbona siendi kulala kwao Kila mtu afe na chake
Kabisa hesabu lazima ziwe Kali maisha haya huruma hapa dunianiUna hesabu kali sana..
We hauna wakwe zako wakija utawalaza wapi mkuuKuna sehemu Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali chumba sebule jiko choo Sasa kwakua jamii forum ni sehemu ya great thinker naombeni msaada wenu ramani ya kisasa wakuu
🤣🤣🤣🤣🤣Sio uchoyo maisha magumu unaanzaje kuzurura Kwa watu Kaa kwako subiri kifo
Jikoni Kuna vyombo na magunia ya mkaa🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee tutakuja kulala jikoni
Wakwe kuja kufanya nini wakati Wana kwao Mimi siishi kizamaniWe hauna wakwe zako wakija utawalaza wapi mkuu
Nakulàan unadharau na kauli mbaya hii raman utaipataje sasaJikoni Kuna vyombo na magunia ya mkaa
Kabisa mkuu kinyumba kidogo tu halafu finishing Kali unahamia yaani hakikupi mawazo ya ajabu ajabuTupo wengi tunasubiri ramani acheni story nyingi, nyie mnaokimbilia Manyumba makubwa ndio chanzo cha nusu ya nyumba za Tanzania kuwa Mapagale.
Kusalimia wajukuu je ukiumwa au mwanafamilia akiumwaWakwe kuja kufanya nini wakati Wana kwao Mimi siishi kizamani
Sasa mkuu dharau zangu zipo wapi hapo jikoni si naweka vyombo na magunia ya mkaa na vyakulaNakulàan unadharau na kauli mbaya hii roman utaipataje sasa
Wajukuu nitakua nawapeleka kwao na mwanafamilia akiumwa anapelekwa hospitalKusalimia wajukuu je ukiumwa au mwanafamilia akiumwa
Wew ukiumwa je?Wajukuu nitakua nawapeleka kwao na mwanafamilia akiumwa anapelekwa hospital
Hospitali kwan atakaa mileleWew ukiumwa je?
Mkuu ni chumba kimoja sebule jiko choo tuChukua hiyoView attachment 3284692
Kwani anajenga guest 😁Chumba kimoja? Wageni tutalala wapi 🥹
Naenda hospitalWew ukiumwa je?