MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Huwa inamaanisha nini ukiona mpenzi wako kapost picha yako watsapp status halafu caption kaandika UNCLE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado hujasemaHuwa inamaanisha nini ukiona mpenzi wako kapost picha yako watsapp status halafu caption kaandika UNCLE?View attachment 2775410
Hawakuwagi cousinNa bado hujasema
Sasahivi utapostiwa cousin😆😆😂
Nakazia☺️Jamaa angu unapendwa sana.
Mwanamke wa kimbulu akitembelewa na mtu akasema ni binamu yake jua huyo ni mume mwenzio na atamgongea hapo hapo kwako. Nadhani wanawake wa kimbulu wanaongoza kwa kuwa na mabinamu wengi.Kuna baadhi ya makabila mkeo/mpenz wako akikuaga anaenda msalimu uncle elewa tuu kitumbua chaenda pelekewa moto