Wakuu naombeni ushauri kuna kitu sijaelewa

Uncle ni mjomba.

Kwa lugha mojawapo ya mkoa wa Tanga mjomba ni Mtumba.

Mtumba ni nguo zilizokwishavaliwa na watu kisha zinatolewa kama msaada au zinauzwa na watu wananunua magoli na wanatokelezea kwenye matukio kama wamevunja kabati la Mariedo.

Anaweza kuwa anamaanisha wewe ni Mtumba yaani second hand sio mpya tena yaani used sio mali mpya tena.

Sio marazote kila jambo lina maana, saa nyingine ni kuchangamsha genge tuu bin utani.
 
Mjomba sio neno la heshima kuitwa na Kazi unayoila.
Nasikitika kusema umeungaa kwanye huduma ya kulipia.
 
Kuna baadhi ya makabila mkeo/mpenz wako akikuaga anaenda msalimu uncle elewa tuu kitumbua chaenda pelekewa moto
 
Kuna baadhi ya makabila mkeo/mpenz wako akikuaga anaenda msalimu uncle elewa tuu kitumbua chaenda pelekewa moto
Mwanamke wa kimbulu akitembelewa na mtu akasema ni binamu yake jua huyo ni mume mwenzio na atamgongea hapo hapo kwako. Nadhani wanawake wa kimbulu wanaongoza kwa kuwa na mabinamu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…