figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Duh
unaenda kulopolopo halafu kumbe hata vibali vya kuishi kule hana, aiseee
😅😅😅Sasa kama nchi inaongozwa na majambazi ataachaje kutekwa,,,hii nchi ili uwe huruma wewe kubali tu kuwa unalawitiwa na viongozi wa sisiemu, KIUFUPI WANANCHI TUNALAWITIWA
Una Roho kama watekaji,Duh
unaenda kulopolopo halafu kumbe hata vibali vya kuishi kule hana, aiseee
AiseeWakuu kuna ukweli gani? Kwani si yupo nje ya Nchi au!
Inasikitisha sana.Ni kweli ndugu zake wa Arusha wanaendelea kumtafuta vituo vya polisi, wametoka central hayupo, wanaendelea kutafuta vituo vingine. Tupige maombi!
kama nyinyi ndio mlishauri arudi maana unaonekana uko karibu zaidi, basi ni wapuuzi nyinyiUna Roho kama watekaji,
Hivi Elnino si inakuja, kwa nn isiwasombe nyie wote shubaramit!
Hata nchimbi hakujua kama leo atakuwa matekaKamdomo kujifanya unajua kila kitu
USSR
Hio nchi wala hata siishi nilishaikana wala usihofuKwahiyo unataka kusemaje? Hivi ni kilopo lopo yu alikua anatetea haki za raia?
Acheni kujifanya miungu watu, imo nanyi siku yenu, yaja.
hakuna mtego hapo, kwa kuwa bado ni raia tanzania, hana ujanja na US hawana muda kutetea watu weusi wa africayaan USA ilimchagua kumpiga kitabu wanajua lzma kinachoendelea tz wakamuacha arudi tena kwa kulazimisha alf na police hawaoni huo ni mtego wanaruka nae, naona mwisho tafadhali iwe tu asee
You are making some sense.Hio nchi wala hata siishi nilishaikana wala usihofu
lakini kwenye siasa za bongo nina ufahamu kuona huyu ni mjinga na yule yuko sawa
Yaani utoke hapa uende nje ya nchi kufanya kampeni dhidi ya serikali bila kuwa na plan B , huu ni uzwazwa, tukisema ujinga wake tunaonekana tuna roho mbaya
Polisi wamegusa pabaya , watoto wa TRAMPO wataruka nao.Ndugu yangu na rafiki yangu, Comrade Malisa GJ [@malisa_g], ametekwa na Jeshi la Polisi Tanzania karibu na Namanga, Arusha, Tanzania, jioni hii.
Hili ni tukio linalotia wasiwasi mkubwa!!
Mwachieni Malisa GJ sasa hivi!!
View attachment 3660906
Polisi lazima Wateme BUNGO ,wameingia CHA KIKE.yaan USA ilimchagua kumpiga kitabu wanajua lzma kinachoendelea tz wakamuacha arudi tena kwa kulazimisha alf na police hawaoni huo ni mtego wanaruka nae, naona mwisho tafadhali iwe tu asee
Jizi na lipenda rushwa linachangia bila aibuKamdomo kujifanya unajua kila kitu
USSR
Kwa nchi ilipo fikia ni vyema kabla ya kupanua mdomo wako ujihakikishie kuwa uko salama kiasi gani kwanza.Sasa huyu naye anarudi Bongo usawa huu wakati anaona kinachoendelea kwani alisahau nini?
Kashindwa kuongea na connections zake za State Department kuchukua ukimbizi aangalie upepo kwanza?
Au ndiyo anataka kupambana kutoka ground?
Mnoooo lo.