Wakuu natafuta kazi Leo ni weekend ya mwisho kesho ni mapambano

Ingoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,081
Reaction score
6,367
Mambo vipi wakuu, je ni kwema, Leo ni siku ya mwisho ya mapumziko wakuu, kesho tukiamka salama ni siku ya mapanbano lakini Mimi ndugu natafuta kazi iwe mkoa wowote Mimi nakuja kufanya kazi,

Sijasoma sana nimeishia form 2 tu ndugu zangu Sina ujuzi wowote ule lakini naweza nikioneshwa kazi yoyote,

Nawashukuru sana,
 
Ingia mbeya ..wilaya chunya kama sikosei kwenye migodi huko .. huwezi kosa kazi za day au kama vipi ingia mikoa inayolima hasa morogoro na baadhi ya wilaya za mbeya huwezi kosa day work mashambani huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…