New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Mimi naweza na nimewahi kuwa akaunti ya Google AdSense natoza Kila kitu 500,000 tshUnatengeneza blog?
Kama jibu ni ndiyo,blog kwa ajili ya mambo ya utalii unaweza kunigharimu kiasi Gani? (Hapa ni pamoja na kuisimamia hadi iweze kuanza kupokea matangazo from google adsense)
Nimekucheki PM.Mimi naweza na nimewahi kuwa akaunti ya Google AdSense natoza Kila kitu 500,000 tsh
Nipo mkoa wa dar es salaam, mbeziNimekucheki PM.
Ok.Nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi
mkuu huyo anakuchaji 500k anatumia tu plugin na vitu vidogo vidogo lakini mimi siku chaji hata mia nakutengenezea professional blog na logo bure,Ok.
Ila sorry,niliyemcheki pm ni New Designer
Naona pia mpo katika majibizano kuhusu hii kazi yako. Kuna namna inapata ukosoaji kutoka kwa member New Designer
Hiyo laki tano ni pamoja na kusajili jina ,server na kazi malipo Kila kitu.... Jamaa anakosoa vitu ambavyo havipo... Bado mwanafunzi kwenye mambo haya... Mimi nimefanya vitu vinafanya kazi...Ok.
Ila sorry,niliyemcheki pm ni New Designer
Naona pia mpo katika majibizano kuhusu hii kazi yako. Kuna namna inapata ukosoaji kutoka kwa member New Designer
Malipo ya kusajiri jina sijui, server hehehe ndio nasikia leo mimi sijawai kusikia kuna malipo ya server au jina sijui unajaribu kumdanganya nani labda unaongea vitu vingine kabisa ambavyo sio vya kidesigner hakuna malipo ya jina au ya serverHiyo laki tano ni pamoja na kusajili jina ,server na kazi malipo Kila kitu.... Jamaa anakosoa vitu ambavyo havipo... Bado mwanafunzi kwenye mambo haya... Mimi nimefanya vitu vinafanya kazi...
Asante sana mkuu nimekutumia ujumbe pmNimeona ujumbe wako kuhusu kutengeneza platform, website au app, na nimevutiwa na ujuzi wako.
Nahitaji mtu atakayetengeneza blogu ya habari pamoja na platform ya matangazo ya ajira.
Kama upo tayari, tafadhali wasiliana nami muda wowote ili tujadiliane kuhusu mahitaji na hatua za kazi.
Mkuu Fanya utafiti kwanza kuboresha taaluma Yako, hakuna servers, Wala domain ya bure Cha muhimu kubali kujifunza Kwa wazoefu kwanzaMalipo ya kusajiri jina sijui, server hehehe ndio nasikia leo mimi sijawai kusikia kuna malipo ya server au jina sijui unajaribu kumdanganya nani labda unaongea vitu vingine kabisa ambavyo sio vya kidesigner hakuna malipo ya jina au ya server
kiufupi wewe sio designer hata kidogo hujui chochote.
Unamzibia mwenzako riziki kwa hoja nyepesi sana. Kama hujawahi kusikia, je wewe DOMAIN UTAIPATA BURE? HOSTING JE? Viewers wa kukidhi vigezo vya Google adsense utawapata kwa kutumia bando lako binafsi?Malipo ya kusajiri jina sijui, server hehehe ndio nasikia leo mimi sijawai kusikia kuna malipo ya server au jina sijui unajaribu kumdanganya nani labda unaongea vitu vingine kabisa ambavyo sio vya kidesigner hakuna malipo ya jina au ya server
kiufupi wewe sio designer hata kidogo hujui chochote.
Nancymitijisiko.blogspot.com, hajui kama huko tayari tushatokaUnamzibia mwenzako riziki kwa hoja nyepesi sana. Kama hujawahi kusikia, je wewe DOMAIN UTAIPATA BURE? HOSTING JE? Viewers wa kukidhi vigezo vya Google adsense utawapata kwa kutumia bando lako binafsi?
Kwa kifupi, kwa kutaja laki 5 kwa kila kitu ameonesha anavyoijua kazi yake
Na wewe inaonekana unataka kudandia/kumwibia mteja kwa kumtengenezea .BLOGSPOT
Tuachane na domain au na host mkuu mimi sijataka jamaa wapoteze hela zao bure kwa watu wasio designer, mfano huyu domain anaita jina sijui host anaita server yani hajui chochote pamoja na kuwa naonekana namdhibia ila watu wataenda kupoteza fedha zao bure tu.Unamzibia mwenzako riziki kwa hoja nyepesi sana. Kama hujawahi kusikia, je wewe DOMAIN UTAIPATA BURE? HOSTING JE? Viewers wa kukidhi vigezo vya Google adsense utawapata kwa kutumia bando lako binafsi?
Kwa kifupi, kwa kutaja laki 5 kwa kila kitu ameonesha anavyoijua kazi yake
Na wewe inaonekana unataka kudandia/kumwibia mteja kwa kumtengenezea .BLOGSPOT
Sasa unasema nataka kumwibia mteja wakati nimesema sichaji hata shilingi mia naanza kwa kujitolea bure kabisa kabisa sasa sijui unafikiri nakuwa namuibia nini hapo ?Unamzibia mwenzako riziki kwa hoja nyepesi sana. Kama hujawahi kusikia, je wewe DOMAIN UTAIPATA BURE? HOSTING JE? Viewers wa kukidhi vigezo vya Google adsense utawapata kwa kutumia bando lako binafsi?
Kwa kifupi, kwa kutaja laki 5 kwa kila kitu ameonesha anavyoijua kazi yake
Na wewe inaonekana unataka kudandia/kumwibia mteja kwa kumtengenezea .BLOGSPOT
Kwani hapa tunazungumzia server au domain jamaa hapo amezungumzia server nimemwambia hakuna server za kulipia hivi vitu havipo ndio kwanza nasikia kwake sijasema domain ni bure au sijaongelea domain ni bure naona unachanganya lugha server na domainMkuu Fanya utafiti kwanza kuboresha taaluma Yako, hakuna servers, Wala domain ya bure Cha muhimu kubali kujifunza Kwa wazoefu kwanza
Umenikera saana hivyo vitu utavipata bure ni vya ndugu zetu mazee na kwa nini kama unajua si Tangaza wewe na jamaa muache afanye kazi yake mbona rahisi tu au wivu wa kipimbi huu..Malipo ya kusajiri jina sijui, server hehehe ndio nasikia leo mimi sijawai kusikia kuna malipo ya server au jina sijui unajaribu kumdanganya nani labda unaongea vitu vingine kabisa ambavyo sio vya kidesigner hakuna malipo ya jina au ya server
kiufupi wewe sio designer hata kidogo hujui chochote.