New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
- Thread starter
- #41
Nikitupia unatoa kazi mkuu subiri kazi zinakujaTupia portfolio yako mkuu tupunguze ubishi.
Nikitupia unatoa kazi mkuu subiri kazi zinakujaTupia portfolio yako mkuu tupunguze ubishi.
UPO MKOA GANI NNAHITAJI KUFUNDISHWA GRAPHICSHabarini wakuu,
Wakuu mimi ni kijana wa kiume miaka 25years nilikuwa natafuta kazi ya kutengeneza platform, website au app. nipo tayari kuanza kwa kujitolea hata kwa wiki kadhaa au hata mwezi mzima alafu baadae unaweza kuniajiri.
Naomba kama kuna mtu anahitaji kijana kama mimi hivyo basi naomba tuwasiliane nitafurahi sana.
Weka portfolio/ kazi zako acha maneno kaka.UI performance nilizo ziongelea ni hizi
service worker, Lazy loading ect vitu ambavyo havipatikani kwenye visual software yoyote ile bali hivi vitu ni javascript pure ambazo ni code.
sasa sijui unaongea nini mkuu yani niongelee top global UI performance hata hii lazy loading alafu uje useme sio code developer huyu, hivi unakijua unachokiongea mkuu ?
Kiufupi wewe labda unaongelea vitu vingine hujawai kufanya kazi nzito kama hujui hata Lazy loading ni UI na ni javascript code alafu useme sio coder basi usiongee na mimi unanivunjia tu heshima bure. jifunze UI performance kwanza.
Maelezo yangu yanajitosheleza vizuri nini ninachokiongea na mimi ni nani
Kama hujui hata Lazy loading ni nini usiongee na mimi sio kwa dhihaka zileWeka portfolio/ kazi zako acha maneno kaka.
kama wewe ni pro ungekuwa umekwisha jua umuhimu wa kuoneasha kazi zako ili uweze kuaminika.
Nipo dar mkuu karibu inboxUPO MKOA GANI NNAHITAJI KUFUNDISHWA GRAPHICS
😂😂 kwahiyo umekomalia lazy loading tu sheikh. Huo ni msamiati tu. And clients don't give a shit about lazy loading yako.Kama hujui hata Lazy loading ni nini usiongee na mimi sio kwa dhihaka zile
Ok.
Ila sorry,niliyemcheki pm ni New Designer
Naona pia mpo katika majibizano kuhusu hii kazi yako. Kuna namna inapata ukosoaji kutoka kwa member New Designer
Huyo nisha mtengenezea bure sijamchaji hata mia muulize, nimesikitishwa na hii falsafa yako mkuu so negative, now nipo bize kwenye project flani naiandaa kwahiyo ninapo ona vituko kama hivi kwenye chapisho langu la unanifadhaisha sana mkuu hebu kuwa positive basi.View attachment 3446322
View attachment 3446323
Samahani lakini kiufupi tu elimu haina mwisho.
Kuendesha site lazima uwe umewekea budget kidogo na planning. Hii itakuwezesha kuiendesha kwa mafanikio makubwa hapo badae hasa wewe wa utalii. Itahitaji kulishwa content ili kuvutia wateja wa mara kwa mara.
Kwa ushauri tu ukiingia ig au social media zingine kuna watu wengi wanafanya lakini mwisho wa siku hutopata ulichotegemea.
Ushauri:
Tembelea site ambazo zinakuvutia (kuinspire) katika sekta hiyo ya utalii. Zile unazotamani zingekuwa zako.
Kwenye footer mara nyingi huwa wanaweka developer link au kama uko vizuri kucheza na google unaweza kufanya research kujua nani kazi develop. Kwa njia hiyo unaweza ukawa approach na kufanya nao kazi.
Sawa hongera . Je itakuwa sustainable? Akihitaji updates au upgrade utamfanyia free?Huyo nisha mtengenezea bure sijamchaji hata mia muulize, nimesikitishwa na hii falsafa yako mkuu so negative, now nipo bize kwenye project flani naiandaa kwahiyo ninapo ona vituko kama hivi kwenye chapisho langu la unanifadhaisha sana mkuu hebu kuwa positive basi.
asante sana mkuu, mimi kama Jamaa hatokuwa na hela namtengenezea tu bure wema hauozi,Sawa hongera . Je itakuwa sustainable? Akihitaji updates au upgrade utamfanyia free?
Elimu haina mwisho kwenye IT. Hata mimi najifunza bado kila uchwao.
Unadhani kwanini website nyingi hazitoboi miezi 3 hapa bongo?
Nilikuwa najaribu kukuchallange tu na si kubishana kama unavodhani au kukubania riziki.
Ila kama unataka kuwa successful developer na kuacha kutembeza bahasha jenga PORTFOLIO safi hutoangaika. Kwani hata kesho wateja watakuuliza tuone ulichotengeneza.