Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mkuu nicheki mimi ntakua mteja mambo ya utalii na biashara nipo SA nikirudi ntakucheki achana na hao Watanzania wenye wivu wa maendeleo ya vitu vidogo vidogo na hata usimjibu jibu wateja tu kama nae anataka kazi atangaze tangazo lake sio kuingilia Tangazo la mtu kanikeraa sana huyo Pimbi kama mimi ndio mwenye hilo Tangazo.Sasa unasema nataka kumwibia mteja wakati nimesema sichaji hata shilingi mia naanza kwa kujitolea bure kabisa kabisa sasa sijui unafikiri nakuwa namuibia nini hapo ?