Wakuu natafuta kazi ya kutengeneza platform, website, app, au graphic nitaanza kwa kujitolea

Sasa unasema nataka kumwibia mteja wakati nimesema sichaji hata shilingi mia naanza kwa kujitolea bure kabisa kabisa sasa sijui unafikiri nakuwa namuibia nini hapo ?
Mkuu nicheki mimi ntakua mteja mambo ya utalii na biashara nipo SA nikirudi ntakucheki achana na hao Watanzania wenye wivu wa maendeleo ya vitu vidogo vidogo na hata usimjibu jibu wateja tu kama nae anataka kazi atangaze tangazo lake sio kuingilia Tangazo la mtu kanikeraa sana huyo Pimbi kama mimi ndio mwenye hilo Tangazo.
 
Umenikera saana hivyo vitu utavipata bure ni vya ndugu zetu mazee na kwa nini kama unajua si Tangaza wewe na jamaa muache afanye kazi yake mbona rahisi tu au wivu wa kipimbi huu..
Mkuu watu wanahitaji website au platform kwaajili ya biashara serious kutakuwa kuna hasara endapo watagawa pesa zao kwa watu wasio jua kitu. je ,jambo hili sio jambo baya ?

Kama jamaa anajua hapo sawa lakini kama hajui hii inaweza kuwa hasara kubwa kwa mteja nime mpima na nimejiridhisha jamaa hamna kitu na kama mtu hutaki pesa zako au una pesa za kuchezea basi nenda ukamsikilize anakuambia anataka kulipia server sijui jina kwa 500k mimi sijawai kusikia hii
 
Mkuu mi nadhani kama unataka kumsaidia yupo daslm na wewe upo daslm mpe vinyama nyama kwenye hizi professional zetu ni ngumu mtu kuwa nondo 100% hasa kwa ninyi wadogo sisi wengine kupata maujuzi ni watu wanakupa njia kwa hiyo peaneni njia sahihi na si kuzibiana mimi nipo SA hapa hayo makazi yenu ni pesa nzuri ila vibali ndio shida kwa sasa hivi unatapa pesa kwa sababu huku kazi nyingi ni design mpya kila kukicha..
Mimi sipingi kuwaweka watu kwenye mazingira salama ila ukiweza msaidie dogo mazee hakuna maisha zaidi ya kusaidiana.
 
Asante sana mkuu
 
Tunaweza kuonana kuhusu kutengeneza Platform Kwa ajili ya Setting up,Navigation, tracking system ya Gadgets Fulani hivi za POC Radio New Designer
 
Mimi nimemcheki pm kumpa task kisha anionyeshe kazi yake.

Tusihukumu kwanza labda ana namna anajua anachokifanya. Tumpe muda.
 
Mkuu,

Mimi nasubiri kazi niliyokupa pm. Ikiwa "kali" kama unavyosema naleta ushuhuda hapa hapa.

Piga kazi.
 
Mkuu vipi ukianza kutoa darasa la kujifunza hivyo vitu ukapata chochote
 
Duuuh
Kati ya vitu vinaua Consulting sector ni kushindwa kuweka value kwenye kile unachokifanya.
Hebu thamini rasilimali zinazotumika: muda, pesa (bundle hupati bure), wear & tear ya vifaa vinavyotumika.
How come ufanye kazi bure?
 
Nenda azam media kule kila mara wanafanya maboresho ya apps zao utapata kazi.
 
Ebu jenga hoja. Twambie website itaanzaje kazi na kufikisha views idadi X bila kutoa pesa yoyote?


Zingatia Domain, Hosting, Marketing n.k
 
Ebu jenga hoja. Twambie website itaanzaje kazi na kufikisha views idadi X bila kutoa pesa yoyote?


Zingatia Domain, Hosting, Marketing n.k
Naona unachanganya vitu bado mkuu, mimi ni developer kazi yangu ni kutengeneza sio kuweka views unachanganya vitu mkuu unapoongelea views unakuwa nje ya developer

developer ni mtengenezaji tu mkuu kwa wateja kwaajili ya project zao au biashara zao kuhusu kutafuta wateja au kuuza hii hainihusu mkuu.
 
Sasa naona ulikurupuka kusoma post ya mwenzio... Ebu soma upya mwenzio aliomba laki 5 ya kazi gani. Naona wewe ndo utakuja kumtapeli mteja kwa kujifanya utafanya BILA MALIPO.
 
Sasa naona ulikurupuka kusoma post ya mwenzio... Ebu soma upya mwenzio aliomba laki 5 ya kazi gani. Naona wewe ndo utakuja kumtapeli mteja kwa kujifanya utafanya BILA MALIPO.
New beginner huyo anatafuta uzoefu ni sawa na kinyozi mpya mwenye saluni mpya ila hana wateja wa kuwanyoa kuvuta wateja na kujifunza minyoo tofauti tofauti anaanza na ofa ya kunyoa bure kwa vichwa kadhaa vya mwanzo ili ajihimarishe na kujiweka sawa kujenga soko baada ya hapo ni mwendo wa kula vichwa huku anahesabu Noti, hio wanafanya juniors only wale ma-senior ananyoosha mkeka wake kabisa professionalism ni kitu muhimu sana. hataki maelezo mengi unatakaa ufanyiwe kazi weka kuanzia 1,000,000 mezani kazi ifanywe kinyume na hapo tafuta hao juniors wakupandishie templates za WordPress na Blogger uishie hapo wakupachikie pachikie basi wakupe bure
 
Tupia portfolio yako mkuu tupunguze ubishi.
 
Unatafuta balaa, Github si ndio au Portfolio website ya kwake aonyeshe kazi alizofanya na majina ya kampuni alizozifanyia kazi, unatafuta balaa mkuu
Hata screenshot tu. Nina wasiwasi anaweza akawa designer (ui) tena anayeanza ila sio coder .
Nahitimisha hivo kwasababu hajui hata anachoongea.
 
Hata screenshot tu. Nina wasiwasi anaweza akawa designer (ui) tena anayeanza ila sio coder .
Nahitimisha hivo kwasababu hajui hata anachoongea.
UI performance nilizo ziongelea ni hizi

service worker, Lazy loading ect vitu ambavyo havipatikani kwenye visual software yoyote ile bali hivi vitu ni javascript pure ambazo ni code.

sasa sijui unaongea nini mkuu yani niongelee top global UI performance hata hii lazy loading alafu uje useme sio code developer huyu, hivi unakijua unachokiongea mkuu ?

Kiufupi wewe labda unaongelea vitu vingine hujawai kufanya kazi nzito kama hujui hata Lazy loading ni UI na ni javascript code alafu useme sio coder basi usiongee na mimi unanivunjia tu heshima bure. jifunze UI performance kwanza.

Maelezo yangu yanajitosheleza vizuri nini ninachokiongea na mimi ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…