Wakuu natafuta kazi ya kutengeneza platform, website, app, au graphic nitaanza kwa kujitolea

UPO MKOA GANI NNAHITAJI KUFUNDISHWA GRAPHICS
 
Weka portfolio/ kazi zako acha maneno kaka.


kama wewe ni pro ungekuwa umekwisha jua umuhimu wa kuoneasha kazi zako ili uweze kuaminika.
 
Weka portfolio/ kazi zako acha maneno kaka.


kama wewe ni pro ungekuwa umekwisha jua umuhimu wa kuoneasha kazi zako ili uweze kuaminika.
Kama hujui hata Lazy loading ni nini usiongee na mimi sio kwa dhihaka zile
 
Kama hujui hata Lazy loading ni nini usiongee na mimi sio kwa dhihaka zile
😂😂 kwahiyo umekomalia lazy loading tu sheikh. Huo ni msamiati tu. And clients don't give a shit about lazy loading yako.
Wao wanataka website yenye features kadhaa , wewe kazi yako ni kufanya delivery.

Naweza sema na mimi ni mtaalamu wa kupima damu kisa najua tu neno hematology. Je, nitapata kazi? . Jibu ni hapana kuna vitu lazima nioneshe kuprove i am one.

Huezi sema ni graphic designer with no designs to show. Same goes to coding au kazi yoyote.

Kwa ulimwengu wa sasa huitaji maneno kuomba kazi kama hizi mzee. We need to see uwezo a.k.a expirience uko nayo.
Nadhani ungeniprove wrong hata kuweka link ya git yako lakini uko hapa kuniattack.


Ungefanya la maana sana ungeweka ushahidi wa kazi zako ili kuindoa sintofahamu.
 
Ok.

Ila sorry,niliyemcheki pm ni New Designer

Naona pia mpo katika majibizano kuhusu hii kazi yako. Kuna namna inapata ukosoaji kutoka kwa member New Designer





Samahani lakini kiufupi tu elimu haina mwisho.
Kuendesha site lazima uwe umewekea budget kidogo na planning. Hii itakuwezesha kuiendesha kwa mafanikio makubwa hapo badae hasa wewe wa utalii. Itahitaji kulishwa content ili kuvutia wateja wa mara kwa mara.
Kwa ushauri tu ukiingia ig au social media zingine kuna watu wengi wanafanya lakini mwisho wa siku hutopata ulichotegemea.

Ushauri:
Tembelea site ambazo zinakuvutia (kuinspire) katika sekta hiyo ya utalii. Zile unazotamani zingekuwa zako.
Kwenye footer mara nyingi huwa wanaweka developer link au kama uko vizuri kucheza na google unaweza kufanya research kujua nani kazi develop. Kwa njia hiyo unaweza ukawa approach na kufanya nao kazi.
 
Huyo nisha mtengenezea bure sijamchaji hata mia muulize, nimesikitishwa na hii falsafa yako mkuu so negative, now nipo bize kwenye project flani naiandaa kwahiyo ninapo ona vituko kama hivi kwenye chapisho langu la unanifadhaisha sana mkuu hebu kuwa positive basi.
 
Sawa hongera . Je itakuwa sustainable? Akihitaji updates au upgrade utamfanyia free?
Elimu haina mwisho kwenye IT. Hata mimi najifunza bado kila uchwao.
Unadhani kwanini website nyingi hazitoboi miezi 3 hapa bongo?

Nilikuwa najaribu kukuchallange tu na si kubishana kama unavodhani au kukubania riziki.

Ila kama unataka kuwa successful developer na kuacha kutembeza bahasha jenga PORTFOLIO safi hutoangaika. Kwani hata kesho wateja watakuuliza tuone ulichotengeneza.
 
asante sana mkuu, mimi kama Jamaa hatokuwa na hela namtengenezea tu bure wema hauozi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…