zyuho
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 220
- 348
Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam,
Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani (hortculture) Kijiji kimoja huko Kilosa Morogoro.
Sasa kutokana na kazi za watu ,Imekua ngumu sana kwangu ku manage shamba 100% kutokana na umbali, Sasa nataka nipate mbegu bora ya kitimoto niwaweke kwenye kipori changu bagamoyo vijijini hapo.
Najua JamiiForums ni Platform kubwa sana na lina jitosheleza kwa majibu ya maswali yote kutokana uwepo wa watu makini sana na wenye uchu wa mambo chanya.
Nawasilisha kwenu wakuu: