Michaelson chujagi
Member
- Mar 25, 2015
- 21
- 11
- Thread starter
- #21
Nawashukuru Sana wakuu ntazingatia ushauri wenu, mmenifumbua macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barabara ni lami au vumbi?Hii Toyota Cami ukiipeleka Nyasa jiandae kuhudhuria gereji mara kwa mara.
Mkuu Kutoka Nyasa kwenda Mbinga kuna milima mikali sana na njia za kwenda Mpapa,Matili, Dar Porini mvua ikinyesha hiyo Cami na 4wd yake itakaa.
Ninayo moja hapa, kama muanzisha uzi yupo interested, nione through PMNamshauri anunue RAV 4 OLD MODEL ya mwaka 1997 au 1998/1999!
Iwe ni full time four wheel. Akipata ya Manual nzuri zaidi. Gari inavumilia sana, ila ina urafiki na maji ya uarabuni.
Escudo ni gari hasa. Hakichagui barabara + kina shock up nzuri sana very comfortableMzee kama kuna gari ya kijinga kwenye utelezi ni gx 100,hio aachane nayo kabisa kwa ushauri wangu.
Naona Escudo massawe/old model itamfaa sana,ina 4wd kali sana ile gari,kuna sehemu hua inapita hata Hizi Suv with Full time 4wd hazisogezi pua yake.
Namshauri achukue toyota cami/ terios kid itamfaa kwa sabab
1. Lipo juu
2. Lina 4wd
3. Bei yake sio kubwa( around 9million unapata used from japan)
4. Linatumia mafuta vizuri
5. Lina seat za kukaa watu 4
SalamaHabari kaka. Wewe ni dalali/unauza magari?
Natafuta Honda Fit/Vitz nzuri bajeti yangu 4m mpaka 5m.
Ingia kwenye website ya kupatana unaweza kupataHabari kaka. Wewe ni dalali/unauza magari?
Natafuta Honda Fit/Vitz nzuri bajeti yangu 4m mpaka 5m.
Bei za hizo gari zimesimamia ukucha mkuu $4000 -8000Kama ni gari ndogo ya petrol na mfuko wako sio mkubwa nunua hizi gari Toyota Chaser Gr80 maarufu kama Chaser mayai au Toyota Mark 2 Gr80 zenye injini ya 1G au 4S baadhi zilikuwa na diff na zilikuwa zinavuta nyuma hizi ni gari za kizamani kidogo ila kwa huko utadumu nayo.
Pia unaweza ukachukua balloon iwe Toyota Mark 2 au Cresta au ukaja mpaka uzao wa GX100 iwe ni Toyota Mark 2/Cresta/Chaser.
Huko kuna milima mikali unahitaji gari yenye nguvu hizo nilizotaja zinahimili barabara za huko na nilipita huko miaka ya 2009 nimekuja tena mwaka huu nyingine nimezikuta bado zipo kazini.
Mkuu nazungumzia used za hapa Bongo maana siku hizi Mark/Cresta/Chaser zile GR90, balloon GR100 na GX100 bei zipo chini akiwa na kuanzia million 4 anapata nzuri.Bei za hizo gari zimesimamia ukucha mkuu $4000 -8000
Anhaa sawa nilijua Japan mkuuMkuu nazungumzia used za hapa Bongo maana siku hizi Mark/Cresta/Chaser zile GR90, balloon GR100 na GX100 bei zipo chini akiwa na kuanzia million 4 anapata nzuri.
Japan kwanini zipo juu hivyo wakati ni matoleo ya zaman mkuu?Anhaa sawa nilijua Japan mkuu
Mzee hizo ni gari imara sana mzee ndo we nenda beforward au sbt ukajionee
Duuh nimejionea mkuu zingine mpaka $21320/= bora umvue mtu hapa hapa bongo kwa 4.5M unapata.Mzee hizo ni gari imara sana mzee ndo we nenda beforward au sbt ukajionee
vitz ya 4m -5 ni mamba CHabari kaka. Wewe ni dalali/unauza magari?
Natafuta Honda Fit/Vitz nzuri bajeti yangu 4m mpaka 5m.
Asante. Nishaganunua gari dada.vitz ya 4m -5 ni mamba C
zinapatikana za kutosha
tatizo La wateja wa Jf unahangaika kumtafutia gari ukimtumia anapotea hewani.
safi,ukitaka kuliuza tuonane.Asante. Nishaganunua gari dada.