Wcb for life
Member
- Oct 28, 2019
- 14
- 16
jamaa flani ni mbavu saana ingia instagram andika official brownBrown ndio nani?
Hio insta mikeka yake kwny ku-bet ikoje mkuu?jamaa flani ni mbavu saana ingia instagram andika official brown
yah mkuu na odds za maana.Hio insta mikeka yake kwny ku-bet ikoje mkuu?
Wana mikeka mizuri ka ya m-bet?
kwa unavyofikiri gym ndakuwa nalipia mawe au?Tafuta pesa achana na Machuma
wakuu msaada wenu nataka nianze gym ila mwili wangu ni mwembamba saana nataka nijae kama brown. nahitaji supplment nzuri ya bei rahisi au dawa zozote nazoweza kutumia. naombeni msaada kwa wataalamu wanaojua haya mambo.
hizo mambo kabila letu hatunaga afu mi nimekulia town.Wakati ukiwa bado Kijana ulibahatika kwenda ' Jando ' Mkuu?
hizo mambo kabila letu hatunaga afu mi nimekulia town.
madhaifu gani?Ndiyo maana kwani kuna ' Madhaifu ' fulani nimeyaona katika maelezo yako ya awali.
Huku anatobolewa 😆jamaa flani ni mbavu saana ingia instagram andika official brown
Huku anatobolewa
sio kuiga mkuu nimechoka na kamwili kembamba nikivua shati kwa watu nikituko.Hata id yako inajieleza soon utahamia na kwenye michezo ile.
Mambo ya kuiga iga
sio kuiga mkuu nimechoka na kamwili kembamba nikivua shati kwa watu nikituko.
shangaa wewe mkuuHua unavua shati kwa watu ili ufanye nini mkuu?
ahahahaha hapana mkuu nataka mwili ukae vizuri tu.Najua tu unataka upendwe na mademu huna lolote[emoji3]