Wakuu nataka nianze Gym

Wakuu nataka nianze Gym

Mnatumia masteroids mwishoni mnakuwa mabwabwa..
 
wakuu msaada wenu nataka nianze gym ila mwili wangu ni mwembamba saana nataka nijae kama brown. nahitaji supplment nzuri ya bei rahisi au dawa zozote nazoweza kutumia. naombeni msaada kwa wataalamu wanaojua haya mambo.
Unataka hadi dawa za nini?
Unataka uishi kwa dawa?
 
Back
Top Bottom