Wakuu nataka nianze Gym

Wakuu nataka nianze Gym

Wcb for life

Member
Joined
Oct 28, 2019
Posts
14
Reaction score
16
wakuu msaada wenu nataka nianze gym ila mwili wangu ni mwembamba saana nataka nijae kama brown. nahitaji supplment nzuri ya bei rahisi au dawa zozote nazoweza kutumia. naombeni msaada kwa wataalamu wanaojua haya mambo.
 
Wakati ukiwa bado Kijana ulibahatika kwenda ' Jando ' Mkuu?
 
Hata id yako inajieleza soon utahamia na kwenye michezo ile.
Mambo ya kuiga iga
 
changanya mayai maviza,ndizi,mkojo wa mbwa na kinyesi cha nguruwe uwe unakunywa unapoingia gym.
 
Back
Top Bottom