Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Screen ya nini? Kama na TV nenda kwenye settings za TV yako. Kama ni PC ipo sehem kwa chini movie ikiwa inaplay, kama ni simu rotate kioo chako
Screen ya nini? Kama na TV nenda kwenye settings za TV yako. Kama ni PC ipo sehem kwa chini movie ikiwa inaplay, kama ni simu rotate kioo chako
bonyeza button ya kati hiyo,video hufanya hivyo unapo highlight halafu kuplay.
Imekaa sawa kiongozi.Resolution 640 unategema nn
bonyeza batan ya mwisho kulia hyo ya play
Bado hujamsaidia kupata ufumbuzi wa tatizo lake.Resolution 640 unategema nn
Unakaaje na remote chafu hivyo?Niwie radhi kiongozi nilisahau kuweka pics aisee...!
View attachment 2043149
View attachment 2043150
Nafikiri mojawapo ya buttons za chini kushoto P.Mode ambayo nahisi ni Picture mode au P.Size ambayo nahisi ni Picture size, jaribu mojawapo...
Ila kwa jinsi ya kawaida ukibofya play tu, picha ilitakiwa ijae kulingana na aspect ratio za video yenyewe...
Unakaaje na remote chafu hivyo?
Picture size nafkiri ni ukubwa wa video husika ni KB/MB.
So far imekaa poa sasa hivi.
Pamoja...kwenye TV nyingine picture size humaanisha Kimo na Upana wa picha