kwenye madawa hapo, itakua afya ya umma imeimarika.Madawa ya binadam , Lab na Mgahawa
kwa biashara tajwa hapo juu basi ni kipindi cha mpito au pengine kuna mahali umechemkaMadawa ya binadam , Lab na Mgahawa
Ungeainisha biashara unazofanyaSalaam.
Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama wakati huu tangu nianze hii biashara,yaani pesa hakuna mteja anakuja analia vibaya sana.
Wazee ni kwangu tu au hata kwenu? Biashara zote tatu ni shida atleast ya chakula ndo napatapata ya kusukuma siku dah🙌 sio poa.
Ila famasi zimekuwa nyingi sanaMadawa ya binadam , Lab na Mgahawa
Pamoja na hela kuwa ngumu ila market iko saturated. Kila mtu anafanya biashara. Kama hizo pharmacy kuna barabara ya 4km nilizihesabu zinafika 50. Sasa watu wanaumwa sana au? Baada ya watu kusikia pharmacy zinalipa kila mtu anataka kufungua yake. Huo ni mfano mmoja tu.Ila famasi zimekuwa nyingi sana
Ndio pharmacy zinalipa wazungu wametuaminisha mitishamba ni uchawi alafu wakabadilisha mitishamba kuwa dawa za kisasa.Pamoja na hela kuwa ngumu ila market iko saturated. Kila mtu anafanya biashara. Kama hizo pharmacy kuna barabara ya 4km nilizihesabu zinafika 50. Sasa watu wanaumwa sana au? Baada ya watu kusikia pharmacy zinalipa kila mtu anataka kufungua yake. Huo ni mfano mmoja tu.
Yaani biashara zako zote ni nzuri Ina maana watu hawaumwi? na magonjwa yote haya?Madawa ya binadam , Lab na Mgahawa
Sasa sii uongee nae vizuri atumie urafiki kama fursa upate hata kanafasi huko bakabaka. Au anakupiga kambaMkuu acha kabisa acha kabisa mpaka nimekaa nika panic baada ya mzee kunipa story et rafiki zake wengi wanajeshi wengine wakuu wa wilaya..
Nawaza huyu faza mbna jau, inamana wenzake kipindi wanachukua nafasi kama hizo yeye alikua anafanya nn..?
Ukija kwetu sisi hakuna fursa kama zamani aiseee hakuna fursa kabisa an faken life
Ngoja tuwaulize chawa viherehere watupe mtazamo!Salaam.
Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama wakati huu tangu nianze hii biashara,yaani pesa hakuna mteja anakuja analia vibaya sana.
Wazee ni kwangu tu au hata kwenu? Biashara zote tatu ni shida atleast ya chakula ndo napatapata ya kusukuma siku dah🙌 sio poa.
HApo kwenye duka la madawa maombi yako makubwa kwa mungu ninini??Madawa ya binadam , Lab na Mgahawa
Hospitalini hakwendeki,kwenye lab hatwendi watu wanapiga tu,dawa tatu,ukiona mtu kaenda hospital ujue huyo yupo hali tete!Madawa ya binadam , Lab na Mgahawa