ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Oct 5, 2024 #1 Mwenye kujua uhusiano uliopo wa kisayansi hasa kikemia ni kivipi kisu ukikikatia vitunguu ukali wake unaondoka, binafsi mimi sijapata muda wa kufanya hio tafiti nithibitishe kama ni kweli au chai kama chai nyingine.
Mwenye kujua uhusiano uliopo wa kisayansi hasa kikemia ni kivipi kisu ukikikatia vitunguu ukali wake unaondoka, binafsi mimi sijapata muda wa kufanya hio tafiti nithibitishe kama ni kweli au chai kama chai nyingine.