Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005

Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005

Suzuki Swift Toleo la kwanza,binafsi naona ni gari zuri,engine stahimilivu,spare zimezagaa kama njugu sababu gari zenyewe nazo ni nyingi sana.Inakuja na engine ya M13.
Ila mashauri Suzuki swift Toleo la pili,wengi huoenda kuita Suzuki swift new(Si unajua sisi waswahili tena.)
Faida yake Toleo la Pili,ina nafasi KUBWA kulikontileo la kwanza Pili nyingine zina engine na Gearbox ya M13A.Tatu,ina muonekano wa kisasa tofauti na hiyo.
Kwani wenzetu nje,swift zimeenda matokeo mengi sana ,ila kibongo bongo matokeo hayo hayapo,simu unajua sisi tumekariri IST na Subaru.
 
Swift Old ukipata iliyoko kwenye hali nzuri chukua
Ni gari nzuri sana hasa kwa mtu ambaye hajakaa na magari (gari la kwanza)
Inatumia mafuta vizuri (1300cc), ni imara, viti vizuri, na ni imara sana kupita IST
 
Back
Top Bottom