Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
A14 ni mpya, used ni Google pixel 4a350 kwa A14 mtumba bei kubwa sana
Kama hujali simu ndogo kwa used hapa Tz Sony yupo vizuri zaidi, simu kama Xperia 5 II inakaa na chaji na camera nzuri kuliko pixel yoyote ya hii budget. Bei zake ni 300-350k.
Kama ni mpya, price ya 350 ni sawa au expensive?350 kwa A14 mtumba bei kubwa sana
Kama hujali simu ndogo kwa used hapa Tz Sony yupo vizuri zaidi, simu kama Xperia 5 II inakaa na chaji na camera nzuri kuliko pixel yoyote ya hii budget. Bei zake ni 300-350k.
Bei ya kawaida sio nzuri sio mbaya, simu ya Xiaomi yenye same specs Inakua 280K Tigoshop na mtaani hadi 250K unapata.Kama ni mpya, price ya 350 ni sawa au expensive?
aquos ni mnyama mkaliKwa uimara wa simu, kimbilia sharp aquos hutojuta.
Pixel ukiachana na camera ni Infinix iliyochangamkaChukua pixel kwa camera ila Samsung kwa chaji labda
Nipe sababu tatu tuPixel ukiachana na camera ni Infinix iliyochangamka
Xperia 5 ii inazidi 400k bei350 kwa A14 mtumba bei kubwa sana
Kama hujali simu ndogo kwa used hapa Tz Sony yupo vizuri zaidi, simu kama Xperia 5 II inakaa na chaji na camera nzuri kuliko pixel yoyote ya hii budget. Bei zake ni 300-350k.
Uchumi wako ili tuweze kushauri ipasavyo😁Habari za kushinda wakuu,
Nina option mbili Kati ya Galqxy a14 64gb new au Google pixel 4a 128gb used.
Preference ni camera, kukaa na chaji.
320K nilinunua kkoo, hakikisha tu unajua kuingia service mode na uhakiki vitu kama battery health, touch na vinginevyo.Xperia 5 ii inazidi 400k bei