Wakuu, nichukue ipi kati ya Galaxy A14 new au GooglePixel 4a used? Zote 350,000

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,532
Reaction score
2,415
Habari za kushinda wakuu,

Nina option mbili Kati ya Galqxy a14 64gb new au Google pixel 4a 128gb used.

Preference ni camera, kukaa na chaji.
 
Nimeona. Ni iko Mahala Pake, Tatizo ni Single Sim, Mtumiaji anataka Double, Pia hofu kidogo ya Chinese Rom, Je Chinese Rom yenye Google Play ina shida yoyote??
Zote ni single sim, pia kama una was wasi na Chinese rom Ebay kuna za Usa version ina GB 128 badala ya 256 sema bei pia ipo chini kidogo $99. Sema usafiri ebay inabidi uwe mzoefu kidogo.
 
Sijawahi Kununua kitu Ebay, Aliexpress ndio nina uzoefu nako.

Naomba Link Nione pia huenda nikajifunza kitu huko. Aksante.
 
Mkuu hii ya $99 siku angalia vizuri ipo locked na Verizon (Maana ilikua mpya) ila used za kawaida kama B grade zipo chini ya hapo pia

Cha muhimu kwa ebay angalia seller ana rating ngap na rating ziwe kwa maelfu, kama seller ana ratings 1000 ama 10,000 na wote 99% wameridhishwa na huduma basi unaweza ukanunua kwake.
 
Huku Najifunza tu.... Kuagiza Huku Hapna. Nitabaki Aliexpress tu. Aksante
 
Mkuu hii ya $99 siku angalia vizuri ipo locked na Verizon (Maana ilikua mpya) ila used za kawaida kama B grade zipo chini ya hapo pia

Cha muhimu kwa ebay angalia seller ana rating ngap na rating ziwe kwa maelfu, kama seller ana ratings 1000 ama 10,000 na wote 99% wameridhishwa na huduma basi unaweza ukanunua kwake.
Chief, Siwezi kupata server ambayo ipo active ni flash simu yangu kwenda android 8.0.
 
Back
Top Bottom