Wakuu, nichukue ipi kati ya Galaxy A14 new au GooglePixel 4a used? Zote 350,000

Wakuu, nichukue ipi kati ya Galaxy A14 new au GooglePixel 4a used? Zote 350,000

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,532
Reaction score
2,415
Habari za kushinda wakuu,

Nina option mbili Kati ya Galqxy a14 64gb new au Google pixel 4a 128gb used.

Preference ni camera, kukaa na chaji.
 
320K nilinunua kkoo, hakikisha tu unajua kuingia service mode na uhakiki vitu kama battery health, touch na vinginevyo.

Maeneo ya uhuru na aggrey zipo nyingi mno. Kama unaona maduka ya juu unashindwa ku bargain ingia basement lile jengo la kona ya msimbazi na uhuru lenye maduka mengi ya simu.
Sorry nilichanganya model mkuu. Xperia 5 ii iko chini ya hiyo 320k
 
Redmi 12C mkuu, sema angalia na A15 siku hizi zimeshuka bei sana.
Nimeona Imeshuka sana kweli.

Bado Kila nikiangalia sioni Niende wapi kati ya hapa

Xiaomi Poco m5
Xiaomi Poco M6 Pro
Realme 10 Pro
Redmi 13C
Samsung A51 5g
Motorola One 5g Ace
Motorola G stylus 5g 2022
Galaxy A31
OnePlus Nord n20 se

Nyingi hapo ni 6/128 na 8/256
Brand New ni Redmi 13c na Realme 10 pro na Xiaomi M6 Pro ambayo sijui bei yake. Nyingine ni used.

Bajeti ni 250-300.

Nikimbilie wapi??
 
Ambazo atleast zina Cortex A78
Realme 10 pro
Moto G stylus 5G 2022

Baina ya hizo mbili mkuu ni nzuri, perfomance kubwa na zitakaa na chaji, pia utapata 5G.
 
Pia realme minimum inaanzia 6GB ram hio Motorola ina 4GB ram kuwa makini hapo.
 
Ambazo atleast zina Cortex A78
Realme 10 pro
Moto G stylus 5G 2022

Baina ya hizo mbili mkuu ni nzuri, perfomance kubwa na zitakaa na chaji, pia utapata 5G.
Aksante... Na nje ya hizo Tajwa hapo, Ipi una reccomend kwa uchumi huo. Ama hata ikifika 350k si mbaya.
 
Aksante... Na nje ya hizo Tajwa hapo, Ipi una reccomend kwa uchumi huo. Ama hata ikifika 350k si mbaya.
Sd 695 kwa laki 3 ni soc nzuri zaidi unayoweza kupata.

Nimecheki Aliexpress naona Moto edge ya 2021 kwa around 320K ina sd 778G naona kama simu nzuri zaidi ila sijajua ina kipengele gani mpaka wanaiuza bei rahisi hivi unaweza uka fanya utafiti zaidi

Ngoja Nikaiona, Aksante sana.
 
Back
Top Bottom