Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Sorry nilichanganya model mkuu. Xperia 5 ii iko chini ya hiyo 320k320K nilinunua kkoo, hakikisha tu unajua kuingia service mode na uhakiki vitu kama battery health, touch na vinginevyo.
Maeneo ya uhuru na aggrey zipo nyingi mno. Kama unaona maduka ya juu unashindwa ku bargain ingia basement lile jengo la kona ya msimbazi na uhuru lenye maduka mengi ya simu.
Kiasi gani minimum?Sorry nilichanganya model mkuu. Xperia 5 ii iko chini ya hiyo 320k
Inakaribia 300k kwa bei ya sasa. IsifikeKiasi gani minimum?
Bei gani?Chukua Galaxy A14 mpya full boxed 2years African warranty View attachment 2928514
0714 036595 free cover + protector
Asichukue yeyote kapande juu ya meza badala yake.Bei gani?
Mkuu, Naomba Jina la hio Xiaomi yenye same specs na Simu tajwa ju tafadhali.Bei ya kawaida sio nzuri sio mbaya, simu ya Xiaomi yenye same specs Inakua 280K Tigoshop na mtaani hadi 250K unapata.
Redmi 12C mkuu, sema angalia na A15 siku hizi zimeshuka bei sana.Mkuu, Naomba Jina la hio Xiaomi yenye same specs na Simu tajwa ju tafadhali.
Nimeona Imeshuka sana kweli.Redmi 12C mkuu, sema angalia na A15 siku hizi zimeshuka bei sana.
Ambazo atleast zina Cortex A78Nimeona Imeshuka sana kweli.
Bado Kila nikiangalia sioni Niende wapi kati ya hapa
Xiaomi Poco m5
Xiaomi Poco M6 Pro
Realme 10 Pro
Redmi 13C
Samsung A51 5g
Motorola One 5g Ace
Motorola G stylus 5g 2022
Galaxy A31
OnePlus Nord n20 se
Nyingi hapo ni 6/128 na 8/256
Brand New ni Redmi 13c na Realme 10 pro na Xiaomi M6 Pro ambayo sijui bei yake. Nyingine ni used.
Bajeti ni 250-300.
Nikimbilie wapi??
Pia realme minimum inaanzia 6GB ram hio Motorola ina 4GB ram kuwa makini hapo.Nimeona Imeshuka sana kweli.
Bado Kila nikiangalia sioni Niende wapi kati ya hapa
Xiaomi Poco m5
Xiaomi Poco M6 Pro
Realme 10 Pro
Redmi 13C
Samsung A51 5g
Motorola One 5g Ace
Motorola G stylus 5g 2022
Galaxy A31
OnePlus Nord n20 se
Nyingi hapo ni 6/128 na 8/256
Brand New ni Redmi 13c na Realme 10 pro na Xiaomi M6 Pro ambayo sijui bei yake. Nyingine ni used.
Bajeti ni 250-300.
Nikimbilie wapi??
Aksante... Na nje ya hizo Tajwa hapo, Ipi una reccomend kwa uchumi huo. Ama hata ikifika 350k si mbaya.Ambazo atleast zina Cortex A78
Realme 10 pro
Moto G stylus 5G 2022
Baina ya hizo mbili mkuu ni nzuri, perfomance kubwa na zitakaa na chaji, pia utapata 5G.
Aksante Sana.Pia realme minimum inaanzia 6GB ram hio Motorola ina 4GB ram kuwa makini hapo.
Sd 695 kwa laki 3 ni soc nzuri zaidi unayoweza kupata.Aksante... Na nje ya hizo Tajwa hapo, Ipi una reccomend kwa uchumi huo. Ama hata ikifika 350k si mbaya.
Ngoja Nikaiona, Aksante sana.Sd 695 kwa laki 3 ni soc nzuri zaidi unayoweza kupata.
Nimecheki Aliexpress naona Moto edge ya 2021 kwa around 320K ina sd 778G naona kama simu nzuri zaidi ila sijajua ina kipengele gani mpaka wanaiuza bei rahisi hivi unaweza uka fanya utafiti zaidi
Motorola Moto Edge 778 xt2141 5g Smartphone Snapdragon 6,8g 5000 Zoll Bildschirm mah 108mp Kamera Original gebrauchtes Telefon - AliExpress 509
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.comwww.aliexpress.com
Pixel zinalalamikiwa sana Na watumiaji.PIXEL USED ZINAZIMA BILA TAARIFA yanii..! zina changamoto kubwa snaa nyingi huzima mara moja na kufa jumlaaa chukua samusangiii
tatizo sugu sana hiliiPixel zinalalamikiwa sana Na watumiaji.
Ebay, Amazon inacheza humo humo $110-120 so nahisi imeshuka tu bei.Ngoja Nikaiona, Aksante sana.
Nimeona. Ni iko Mahala Pake, Tatizo ni Single Sim, Mtumiaji anataka Double, Pia hofu kidogo ya Chinese Rom, Je Chinese Rom yenye Google Play ina shida yoyote??Ebay, Amazon inacheza humo humo $110-120 so nahisi imeshuka tu bei.