February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Anzia chini,
Kisha njoo na watu wa level yako,
Kisha panda waliokuzidi kidogo halafu tafuta mabingwa...
Hapa ndo ugumu ulipoFikiria hata michezo minne mbele
Umeona?mpaka sometimes huwa nahisi draft ni kama kujua lugha au kuendesha baiskeli usipolijua utotoni inakuwa ngumu sana kulimasta ukubwani...ila ukishalijua hata usipocheza miaka 10 ukirudi inakuwa kama unakumbushia tuUnataja kama vile ni kitu rahisi.
Umeona?mpaka sometimes huwa nahisi draft ni kama kujua lugha au kuendesha baiskeli usipolijua utotoni inakuwa ngumu sana kulimasta ukubwani...ila ukishalijua hata usipocheza miaka 10 ukirudi inakuwa kama unakumbushia tu
Lakini kwa mtoto kuelewa na kumasta ni rahisi sijui kwannDraft ukubwani utaishia kujua level za chini, hasa ukishakuwa na majukumu.
Kama uko vizuri unaweza ukafika moderate level, lakini ni kazi sana.
Lakini kwa mtoto kuelewa na kumasta ni rahisi sijui kwann
Unavyoongea kama unalijua vile ..ila mlioko njee mnaliona sanaAnzia chini,
Kisha njoo na watu wa level yako,
Kisha panda waliokuzidi kidogo halafu tafuta mabingwa...
.
Omba mechi mkuuUnavyoongea kama unalijua vile ..ila mlioko njee mnaliona sana
Uko wap?ila andaa ada kbisa ya kukufundishaOmba mechi mkuu
skuizi mnaweza kucheza hata onlineUko wap?ila andaa ada kbisa ya kukufundisha
skuizi mnaweza kucheza hata online
Kama hii patema ni (mpale, tewe na Mali) Basi njoo pmUko wap?ila andaa ada kbisa ya kukufundisha
Daah upo Kama Mimi pamoja na kufaulu hesabu za shule kutoka msingi mpaka kuja kuwa Mhandisi eti hesabu za draft zimenipiga chenga.Wasalaam wakuu.
Nimejaribu njia nyingi,kuangalia tutorials,Kucheza online,kudownload checkers,kucheza na watu lakini mara nyingi naishia kula za uso tu...
Tafuta pesa aisee, draft linakusaidia nini?Wasalaam wakuu.
Nimejaribu njia nyingi,kuangalia tutorials,Kucheza online,kudownload checkers,kucheza na watu lakini mara nyingi naishia kula za uso tu..
Hivi hakuna app ya kunifunza strategies step by step?
Kila siku nachekwa kijiweni hadi naona aibu kuomba mechi.