Wakuu nifanyeje nilijue draft?

Wee umejuaje linaitwa drafti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema kibongo bongo tunachanganya sana sheria....British kingi lake halitembei mbali yani haliruki mbali ila linakula mbele na nyuma.
Spanish ndo tunayocheza pwani uku
ila sehem tofauti utakuta draft board limegeuzwa
 
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji2]....wewe wakujua drafti wewe,kwa kichwa kipi??

Bhange si ya kila mtu...acha bange mkuu.

Naona unashindana na ulivyoviumba??[emoji23]
[emoji28][emoji28] Sio dhambi kushindana mkuu siunajua tena mimi ndo mtunga sheria So siwezi kutenda dhambi
 
Usiguse kete kabla haujawa na uhakika wa kuicheza.

Ukiona mambo yanashindikana ibia.

Yakikwama kabisa mwezio akipanga kwenye vyumba vyeusi wewe panga zako kwenye vyeupe.

Ukila makofi uje ufungue uzi.
 
Usiguse kete kabla haujawa na uhakika wa kuicheza.

Ukiona mambo yanashindikana ibia.

Yakikwama kabisa mwezio akipanga kwenye vyumba vyeusi wewe panga zako kwenye vyeupe.

Ukila makofi uje ufungue uzi.
Acha Bangi bro..ila huu mchezo una ujinga Sana muda mwingine mi huwa nacheza mpaka nahisi kuumwa kichwa.unawaza kete zako unawaza za mwenzako,siku ukiamka ovyo unawaza na maisha hapo happy,yaani ujinga tu.
 
Ushindi mbinu
 
Hizi ndio principles za kuwa bingwa wa draft,hata mimi ni mtaalamu wa huu mchezo.
Ukiona na hizi mbinu umetumia halafu bado hujui basi ujue una kichwa kizito yaani hata shule maana yake ulikuwa kilaza.
Mada imeisha hiyo
 
Lakini kwa mtoto kuelewa na kumasta ni rahisi sijui kwann
Watoto hawana mambo mengi kichwani,hawana mawazo yoyote zaidi ya kwenda shule,kurudi nyumbani,kula,kucheza.
Ila mtu mzima kichwa kina mawazo mengi ndio maana inakuwa hivyo.
Lakini kama maisha yako umeyaseti vizuri unaenda kazini kila siku ukirudi unapitia kijiweni na unazingatia vizuri basi baada ya miezi 6 au 12 unakuwa mtaalamu kiasi fulani.
 
Nakazia hapa umeongea point sana.
Ila hapo kwenye mtu ulimsema hapo alikuja kuwa kinara darasa la 6 na 7 ni kama umenisema mimi vile isije ikawa tulisoma shule moja,ulisoma wapi mkuu?
 
Kuna ushindi unaitwa Super,mchezo mmoja unapigwa 12.
Wataalam wengi wapo uswahilini.mtu anashinda kijiweni kutwa nzima kwa mwaka ancheza draft.
Na wengi uwa ni madalali,mishen town muda mwingi wanakaa kucheza draft.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Madalali ndio wengi sana,utakuta anacheza draft huku anasikilizia simu yake iite akapige mchongo.
Ukiwaiga unaingia chaka vibaya
 
Nakazia hapa umeongea point sana.
Ila hapo kwenye mtu ulimsema hapo alikuja kuwa kinara darasa la 6 na 7 ni kama umenisema mimi vile isije ikawa tulisoma shule moja,ulisoma wapi mkuu?

Hahaha inawezekana kabisa
 
Sijui nikusaidiaje aiseee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…