February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
- Thread starter
- #61
Nikilijua ntakuwa nazungukia vijiwe vya wazee naweka dau tu....ukinifunga 10 nikikufunga unanipa 5Draft ukiljua raha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikilijua ntakuwa nazungukia vijiwe vya wazee naweka dau tu....ukinifunga 10 nikikufunga unanipa 5Draft ukiljua raha sana
Wee umejuaje linaitwa draftiWasalaam wakuu.
Nimejaribu njia nyingi, kuangalia tutorials,Kucheza online, kudownload checkers, kucheza na watu lakini mara nyingi naishia kula za uso tu.
Hivi hakuna app ya kunifunza strategies step by step?
Kila siku nachekwa kijiweni hadi naona aibu kuomba mechi.
Sema kibongo bongo tunachanganya sana sheria....British kingi lake halitembei mbali yani haliruki mbali ila linakula mbele na nyuma.Unatakiwa ucheze mechi nyingi sana...na ujue michezo yote kwa maana ya kwamba BRITISH na FRENCH ,CHINESE sio saana...kwa mfano ukiwa kanda ya ziwa inayochezwa sana ni FRENCH (Mbele na Nyuma)...ukienda Pwani na Nyanda za juu kusini ni BRITISH (Mbele tu)...na unapocheza draft unacheza madraft mawili (la kwako na la mwenzio) ...
[emoji28][emoji28] Sio dhambi kushindana mkuu siunajua tena mimi ndo mtunga sheria So siwezi kutenda dhambi[emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji2]....wewe wakujua drafti wewe,kwa kichwa kipi??
Bhange si ya kila mtu...acha bange mkuu.
Naona unashindana na ulivyoviumba??[emoji23]
Golf mchezo wa washua huo...naonaga wazunngu tu kwenye courts halafu wabongo ni waokota mipira wabeba vifaa...Sijui kwanini au ni expensive kujiunga kwenye clubs?Jifunze golf mkuu!
niliambiwa na mamdogo
Ni kujifunza tu...Golf mchezo wa washua huo...naonaga wazunngu tu kwenye courts halafu wabongo ni waokota mipira wabeba vifaa...Sijui kwanini au ni expensive kujiunga kwenye clubs?
Acha Bangi bro..ila huu mchezo una ujinga Sana muda mwingine mi huwa nacheza mpaka nahisi kuumwa kichwa.unawaza kete zako unawaza za mwenzako,siku ukiamka ovyo unawaza na maisha hapo happy,yaani ujinga tu.Usiguse kete kabla haujawa na uhakika wa kuicheza.
Ukiona mambo yanashindikana ibia.
Yakikwama kabisa mwezio akipanga kwenye vyumba vyeusi wewe panga zako kwenye vyeupe.
Ukila makofi uje ufungue uzi.
Ushindi mbinuAcha Bangi bro..ila huu mchezo una ujinga Sana muda mwingine mi huwa nacheza mpaka nahisi kuumwa kichwa.unawaza kete zako unawaza za mwenzako,siku ukiamka ovyo unawaza na maisha hapo happy,yaani ujinga tu.
Hizi ndio principles za kuwa bingwa wa draft,hata mimi ni mtaalamu wa huu mchezo.Anzia chini,
Kisha njoo na watu wa level yako,
Kisha panda waliokuzidi kidogo halafu tafuta mabingwa.
Kanuni kubwa ni kucheza kete za mwenzako.
Kucheza na Akili yake.
Fikiria Kuwa yeye akicheza Ile Mimi nitacheza hii.
Fikiria hata michezo minne mbele
Watoto hawana mambo mengi kichwani,hawana mawazo yoyote zaidi ya kwenda shule,kurudi nyumbani,kula,kucheza.Lakini kwa mtoto kuelewa na kumasta ni rahisi sijui kwann
Nakazia hapa umeongea point sana.Uhusiano upo tena mkubwa
Kuna watu wana akili sema wameaminishwa ni wajinga hivyo wameishi maisha yao yote wanaamini ni wazito darasani...
Namjua mtu ambaye alikuwa kati ya mwisho darasa la kwanza mpk la 5 halafu la sita na darasa 7 ndo anakuja kuwa kinara mnagombania nafasi za mwanzoni.Ni wasababu wamechelewa kujua uwezo wao
Kuna watu wana uwezo ila wanaamini hawana hao ndo wanakujaga kuwa wazuri kwenye draft wakati darasani ni wabovu.Kama unalijua draft vzr utakubaliana na mimi mwenye uwezo mdg wa kufikiria hawezi kuwa bingwa wa draft...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Madalali ndio wengi sana,utakuta anacheza draft huku anasikilizia simu yake iite akapige mchongo.Kuna ushindi unaitwa Super,mchezo mmoja unapigwa 12.
Wataalam wengi wapo uswahilini.mtu anashinda kijiweni kutwa nzima kwa mwaka ancheza draft.
Na wengi uwa ni madalali,mishen town muda mwingi wanakaa kucheza draft.
Nakazia hapa umeongea point sana.
Ila hapo kwenye mtu ulimsema hapo alikuja kuwa kinara darasa la 6 na 7 ni kama umenisema mimi vile isije ikawa tulisoma shule moja,ulisoma wapi mkuu?
ulisomea mkoa gani na wilaya gani mkuuHahaha inawezekana kabisa
Sijui nikusaidiaje aiseee....Wasalaam wakuu.
Nimejaribu njia nyingi, kuangalia tutorials,Kucheza online, kudownload checkers, kucheza na watu lakini mara nyingi naishia kula za uso tu.
Hivi hakuna app ya kunifunza strategies step by step?
Kila siku nachekwa kijiweni hadi naona aibu kuomba mechi.