matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Asee, nadhani kiswahili ni lugha ngumu sanacharger = kimemeshi... "una kimemeshi cha sanuka hapo?"
haya ndio yenyewe mkuu.charger = kimemeshi... "una kimemeshi cha sanuka hapo?"
mkuu hii lugha tamu sana, mimi mkinifundisha hizi bombastiki za kiswahili nitakuwa naziongea na kuzitafsiri ili kuwasaidia vilaza wa lugha hii adhimu.
Safi sana.paoneaanga - kituo au taasisi ya kuangalia anga na nyota zake (ing. observatory)
Tanzania itakuwa karibuni na paoneanga pake pa kwanza panapojengwa huko Arusha.
hatariii
Nawaona Jimbi na Gegedu wanagegeduana.Jimbi-kuku dume.
Gegedu-kuku jike
Kama nimefanya mbele nyuma masahihisho ruksa!
Au sharubati ya tufaahaya ndio yenyewe mkuu.
ungekuwa karibu ningekununulia Sharubati ya miwa.
Gegedu ni dume la bata Acha kuongopea watuJimbi-kuku dume.
Gegedu-kuku jike
Kama nimefanya mbele nyuma masahihisho ruksa!
Safi sana.
mkuu ameomba muongozo ikiwa amekosea.
kweli mkuu wangu.Haiyumkiniki watu wengi hawakijui Kiswahili japo wanakiongea
Aghalabu huwa tunakiri hatujui lugha yetu kwa ufasaha