shylock
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 795
- 1,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NywilaMNUNURISHO= radiation
MWILA=PASSWORD
jimbi-jogoo....gegedu---bata dumeJimbi-kuku dume.
Gegedu-kuku jike
Kama nimefanya mbele nyuma masahihisho ruksa!
wakuu mbalimbali
mlejee kichwa cha habari hapo juu.
kama kuna neno la kiswahili fasaha unalijua unaweza kuliweka ikipendeza litungie sentensi.
Nataka kuanza kuyaongea na Kuyaandika popote pale.
msisahau tafsiri.
Mfano: Smarphone ni sanuka/simujanja.
Leo jioni ntapita kariakoo nirekebishe sanuka yangu.
Hahahaha umenikumbusha...
Kwa kukodolea kwako huko (kama nikuonavyo kwenye avatar yako) ni sahali sana kwako kupiga chabo.Nawaona Jimbi na Gegedu wanagegeduana.
mkuu nimeichukua.
hahahaKwa kukodolea kwako huko (kama nikuonavyo kwenye avatar yako) ni sahali sana kwako kupiga chabo.
Lugha yetu tamu inafanyiwa kila hila kuondoshwa kwenye uasilia wake, kwa dhanna tu potofu, bila kujali wala kutafakari tarikh yake gadimu.Haiyumkiniki watu wengi hawakijui Kiswahili japo wanakiongea
Aghalabu huwa tunakiri hatujui lugha yetu kwa ufasaha
mkuu hii njuluku miaka ya tisini ilikuwa kama lugha ya wahunihuni na wavuta bangi, kumbe nayo ni kiswahili fasaha.Hahahaha umenikumbusha...
Njuluku = pesa
Njia ya Kupambana na rusu ni kuhakikisha haumpi nafasi ajue mambo yako.