Wakuu nifundisheni maneno magumu ya kiswahili ambayo tunapaswa kuyaongea lakini hatuongei. Sitaki kuwa mjinga wa Lugha hii tamu

Wakuu nifundisheni maneno magumu ya kiswahili ambayo tunapaswa kuyaongea lakini hatuongei. Sitaki kuwa mjinga wa Lugha hii tamu

wakuu mbalimbali
mlejee kichwa cha habari hapo juu.

kama kuna neno la kiswahili fasaha unalijua unaweza kuliweka ikipendeza litungie sentensi.
Nataka kuanza kuyaongea na Kuyaandika popote pale.

msisahau tafsiri.

Mfano: Smarphone ni sanuka/simujanja.
Leo jioni ntapita kariakoo nirekebishe sanuka yangu.
mlejee = mrejee
 
Umbuji - Uwezo mkubwa wa kushawishi.
Watu wenye umbuji wakiamua kupotosha Taifa litaangamia
 
Kitoto cha ng'ombe = ndama, kitoto cha kuku = kifaranga, cha kondoo kinaitwaje?
 
Back
Top Bottom