Wakuu nifundisheni maneno magumu ya kiswahili ambayo tunapaswa kuyaongea lakini hatuongei. Sitaki kuwa mjinga wa Lugha hii tamu

Wakuu nifundisheni maneno magumu ya kiswahili ambayo tunapaswa kuyaongea lakini hatuongei. Sitaki kuwa mjinga wa Lugha hii tamu

mkuu hii njuluku miaka ya tisini ilikuwa kama lugha ya wahunihuni na wavuta bangi, kumbe nayo ni kiswahili fasaha.
Ndivyo lugha zinavyokuwa. Kamusi ya leo ya Kiswahili ina maneno mengi sana ambayo kamusi ya 1950 haina. Ni hivyo kwa lugha takriban zote.
 
Back
Top Bottom