matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #61
mkuu sentensi imenishinda, nisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu sentensi imenishinda, nisaidie
Ndivyo lugha zinavyokuwa. Kamusi ya leo ya Kiswahili ina maneno mengi sana ambayo kamusi ya 1950 haina. Ni hivyo kwa lugha takriban zote.mkuu hii njuluku miaka ya tisini ilikuwa kama lugha ya wahunihuni na wavuta bangi, kumbe nayo ni kiswahili fasaha.
Duh kama kilugha vilecharger = kimemeshi... "una kimemeshi cha sanuka hapo?"
Ahsante kwa masahihishojimbi-jogoo....gegedu---bata dume