Shomari SN
Senior Member
- Apr 12, 2018
- 118
- 187
Sentensi ina ukakasi hii.... Nafikiri inapaswa kuwa ... Paoneanga yake ya kwanzapaoneaanga - kituo au taasisi ya kuangalia anga na nyota zake (ing. observatory)
Tanzania itakuwa karibuni na paoneanga pake pa kwanza panapojengwa huko Arusha.
Mnunulisho au mnululisho?MNUNURISHO= radiation
MWILA=PASSWORD
Hadi sasa tumeshindwa hata Kutengeneza kiwanda cha NJUKUTI.
Mkuu umesoma vizuri nilichokiandika au ndio umetoka usingizini una maluweluwe? Watu kama ninyi mnaosoma vitu nusunusu bila kutafakari ila unakurupuka tu tabia hiyo muache.
Smartphone = simu ya lununuKwa kweli katika kiswahili hilo neno sanuka kuwa ni smartphone sijawahi kuliona au hilo simujanja ila neno ninalolijua na lipo kwny kamusi ni SIMUMTELEZO
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipi sahihi mkuu.
Simujanja imekaa mkao zaidi.Ipi sahihi mkuu.
Simujanja
Sanuku
Simu ya lununu
Maana sasa nachanganyikiwa, nataka kuchukua moja ili niliingize kwenye matumizi haraka iwezekanavyo.
mkuu kiswahili hicho au kisukuma.Nyoko=mwanamke
Mf. Wewe nyoko unamalingo sana[emoji23] [emoji23]
Sent using samsung galaxy grand prime pro
Liwazwa-hapanaSafi sana.
Nakunywa sharubati ya Tufaa huku nikila paja la gegedu wa kisasa na kuliwazwa na mziki kutoka katika sanuku yangu.
mkuu nimeubeba huo msamiati kwa unyenyekevu wote.Liwazwa-hapana
Tumbuizwa-sawa
nywila siyo MwilaMNUNURISHO= radiation
MWILA=PASSWORD