Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
Wakuu,
Iwe kuhusu vita
migogoro,
Visa katika utafutaji
Najua kuna nyuzi humu zingine sijawai ziona
Iwe kuhusu vita
migogoro,
Visa katika utafutaji
Najua kuna nyuzi humu zingine sijawai ziona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi za utamu nita athirika njianiUshindwe wewe tu
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wakuu .. Kuna kitoto Cha first yr, kimeniganda kweli kweli , Kwa kisingizio eti ana kaa mbali na chuo , Kwahyo anataka ku take advantage kwasababu mm naishi karibu na chuo chake TIA Mpka kina fosi kuja kuishi geto kwangu .. mmh huu mtego nachomokaje ? Mm ni Hustler tu Nenda kilwa road...www.jamiiforums.com
Asante mkuusoma hiyo hutajuta kumjua ben mtobwa
kwan kuna ubaya gan bro!Siku ukienda USA si utataka tukuwekee documentary
Weka bundle stream live movieskwan kuna ubaya gan bro!
kwan hujaonaga chanel juu ya maisha binafsi youtube, au documentary za personal life?
Hivi kigoma sikuhizi kuna lami? Zamani abiria walikua wakishuka kwenye Adventure utasema ndani ya gari kuna machimbo jinsi walivyooga vumbiSafari Ya Kigoma ~ Mwanza
Umepanda Adventure, Saratoga, Takbir
sina bandoWeka bundle stream live movies
We jamaa hii stori imenifanya nipate wazo la kurudi kijijin kama siku moja maisha yatakua magumuHii yaweza kukufaa..
Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito
Tarehe 4 mwezi wa pili 2020 nikiwa katika msongo wa mzito wa mawazo yaliyotokana na ugumu wa maisha nilijikuta nafanya maamuzi magumu bila kutarajia. Nilikuwa nakaa gheto maeneo ya buguruni sheli japo gheto lilikuwa na mshikaji wangu ambae tulisoma nae primary mawenzi shule ya msingi iliyopo...www.jamiiforums.com
Ila nimeziona sehemu 9 sijui kama zingine zipo katkat au laahHii yaweza kukufaa..
Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito
Tarehe 4 mwezi wa pili 2020 nikiwa katika msongo wa mzito wa mawazo yaliyotokana na ugumu wa maisha nilijikuta nafanya maamuzi magumu bila kutarajia. Nilikuwa nakaa gheto maeneo ya buguruni sheli japo gheto lilikuwa na mshikaji wangu ambae tulisoma nae primary mawenzi shule ya msingi iliyopo...www.jamiiforums.com
simjui ela yote iyoLipia 3000 kwa buyobe
Hutajutia kamwe kumfaham