Wakuu nimeachwa mwenzenu

Wakuu nimeachwa mwenzenu

Camp Lehigh

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
335
Reaction score
612
Naandika haya simanzi nzito kichwani na moyoni[emoji22][emoji22]. Nimeachwa na mwanamke nimpendae, sijui nifanye nini. Nina vidonda tumbo vilikua vimetulia muda mrefu vimenijia now kwa mawazo niliyonayo, sijui hata nifanyeje.

Sijui nitakua mgeni wa nani mimi, nahurumia moyo wangu ulizama kwake leo kaniblock kila kona bila sababu ya msingi. Tumeongea leo vizuri tu, ananieleza hana shida nami kaniblock. L nakupenda wewe tu sijawahi fikiria kukucheat nakuapia.

Najua utasoma hapa! Wakuu nimebaki njia panda hata sijielewi, nipeni mbinuuu nimrudishe mpenzi wangu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

ghk-heartbreak-quotes-bette-davis-1547150214.jpeg
 
Back
Top Bottom