Wakuu nimeachwa mwenzenu

Wakuu nimeachwa mwenzenu

Kaka humjui tu kumbe hajanibloku kafuta kabisa account wasap mara ya mwisho kuwasiliana nae alikua ananiuliza jinsi ya kufuta account jf anataka atoke humu kwa miezi (alishawahi potea miaka 2 humu)
Tatizo unapenda wasichana wanaoblock block watu hovyo.......penda wanawake waliokomaa na wanaojitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nasema kwamba,Mapenzi ni kama siasa,Unamkumbuka Lowasa alivyoama? Na wanasiasa wwngine?

Alafu Haya mambo haya, ni bora ukawa unapenda kwa timing( upo kama vile haupo wanaita Don't care hivi,huku ukijiamini tu,ukisema upende mazima,au uzame sana basii utapata tabu kama mda huu hivi unavyoonekana.
 
Back
Top Bottom