Wakuu nimeachwa mwenzenu

Mkuu tafuta hela

Demu asipokupenda,, atapenda pesa zako.

Huwezi kosa hizo option mbili...

Japo mapenz ni zaidi ya pesa ila ukiwa na pesa.... Hizo pesa huwa ni zaidi ya mapenzi.
 
Angekupenda asingekuacha

Moyo wa mtu kichaka..

Alitakiwa kusema yeye ndio anampenda,,, swala la yeye kupendwa akitakiwa amuachie demu..

Leo yote haya ni bado ana amini anapendwa so anaona demu anaweza rudi kirahisi.
 
Ni life tu, tukubaliane na hali.
 
Wewe kaa kimya usimtafute jifanye na wewe huna time nae huku ukiugulia maumivu polepole alijua unampenda ndiomana kaondoka
 
Yaani unapodili na wanawake ukishakuwa "Nice man" hakuna rangi utaacha kuona.
 

Pole sana..mpenzi wake kaja [emoji1]
 
Umeachwa kwasababu huna hell
Tafuta hela
 
Pole sana mwamba
 
kama umeachwa na ww si unamuacha tu kazi ipo wapi? toka lini mwanaume akaachwa akaumia... tafuta pisi kali maisha yaendelee ama tafuta rafiki yake kula mzigo ataumia kwa wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…